...
Damaresi AI ni msanii wa Swahili Real African Hip-Hop kutoka Kilimanjaro, Tanzania, sasa anaishi Southampton, England.Muziki wake ni Motivation - unachanganya Chaga Style, Swahili na sauti za Afrika Mashariki. Nyimbo 12 ziko kwenye Streaming duniani kote.Damaresi AI si msanii tu, ni sauti ya watu wa kawaida wanaopambana kila siku - kutoka Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Zanzibar.
Listen. Feel. Rise.